kingazi Member Joined Jul 4, 2011 Posts 35 Reaction score 7 Jul 26, 2011 #1 unafikiri ingelikuaje kama watu wakifanya tendo la ndoa lile bao linapopatikana lingelikuwa linatoka na mlio kama wa bunduki, usiku ingekuaje?
unafikiri ingelikuaje kama watu wakifanya tendo la ndoa lile bao linapopatikana lingelikuwa linatoka na mlio kama wa bunduki, usiku ingekuaje?
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,429 Jul 26, 2011 #2 kingazi said: unafikiri ingelikuaje kama watu wakifanya tendo la ndoa lile bao linapopatikana lingelikuwa linatoka na mlio kama wa bunduki, usiku ingekuaje? Click to expand... Kabla hujajibiwa weka photocopy ya cheti chako cha kuzaliwa hapa chini.
kingazi said: unafikiri ingelikuaje kama watu wakifanya tendo la ndoa lile bao linapopatikana lingelikuwa linatoka na mlio kama wa bunduki, usiku ingekuaje? Click to expand... Kabla hujajibiwa weka photocopy ya cheti chako cha kuzaliwa hapa chini.
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,153 Reaction score 9,270 Jul 26, 2011 #3 Mwehhhh Chuja kabla ya kusema... Vingine mezea tu.....
Tulizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 848 Reaction score 664 Jul 26, 2011 #4 uporoto01 said: Kabla hujajibiwa weka photocopy ya cheti chako cha kuzaliwa hapa chini. Click to expand... Duh!!!
uporoto01 said: Kabla hujajibiwa weka photocopy ya cheti chako cha kuzaliwa hapa chini. Click to expand... Duh!!!
hengo JF-Expert Member Joined Jun 6, 2011 Posts 402 Reaction score 50 Jul 26, 2011 #5 Hayo ni mapepo yanakusumbua
Kibukuasili JF-Expert Member Joined May 15, 2010 Posts 1,053 Reaction score 616 Jul 26, 2011 #6 kuna watoto humu kumbe!
K kakolo JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 406 Reaction score 353 Jul 26, 2011 #7 Ingekuwa kama tuko vitani.
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 537 Jul 26, 2011 #8 Kuna mtu alibandika kulalamika kuhusu uwepoi wa 'watoto' jamvini. Hebu apite hapa.
D davycom Senior Member Joined Mar 18, 2009 Posts 101 Reaction score 27 Jul 26, 2011 #9 ingekua kama usiku wa mabomu ya gongolamboto.
22nd JF-Expert Member Joined Aug 1, 2010 Posts 494 Reaction score 137 Jul 27, 2011 #11 kuna vitu vyengine ni utoto ila vinakufanya ucheke, hivi ulifikiria nini wewe mtoto?