hivi ingekua vipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi ingekua vipi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by tobycow, Apr 28, 2013.

 1. tobycow

  tobycow Senior Member

  #1
  Apr 28, 2013
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ingekua vipi kama.....

  1.nauli zisingepanda
  2.kila mtu angekua rais
  3.kuoga kusingekuwepo
  4.kufeli kusingekuapo
  5.mume na mke lazima wawe wote bikra
  6.wewe ungekua rais wetu  ............endelea
   
 2. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2013
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  yani nchi ya ajabu sana hii, vichaa wanaachwa mtaani wanazurura tu, wakati vitanda vinakosa watu Mirembe
   
 3. A

  Adamawa Member

  #3
  Apr 29, 2013
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wewe ulie andika thread hii ungekuwa mwanamke
   
 4. wa tarime tanzania

  wa tarime tanzania Member

  #4
  Apr 30, 2013
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 13
  Hivi umeisha kula?
   
 5. P

  Pazi JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2013
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,918
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Ungepigwa ban Humu jamiiforum mpaka siku ya uchaguzi mkuu wa taifa Lako unaonaje kwako si itakuwa vizuri?
   
 6. Isaac JK

  Isaac JK JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2013
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tunapotezeana charge
   
 7. Chakuchambuka

  Chakuchambuka JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2013
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hz Ndo hasara za bia za eagle kushuka bei
   
Loading...