wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,008
- 28,342
Poleni na kinachondelea.
Hivi crane kama hizi fuso ambazo zinakuwa na mkonga wa kubeba vitu kujipakia kama zile zinazobeba nguzo (shirika la umeme tanesco)yaani ule mkonga ushushe ile huku yake iingizwe pale tukakokanyaga wakati wa kupanda/kudandia alafu ndo unyanyue sasa je?inawezekana?