Hivi inawezekana?

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Hivi inawezekana mke/mme wa mtu akawa anapata real love kwa mchepuko??? Na je who is responsible for giving real love kwa mwenza kati ya mchepuko na mme/mke??? Nimebaki idle baada ya my friend kuambiwa na mke wa mtu kuwa anahitaji real love while ana mme na wanaishi wote........

NB: mke wa mtu always overload system and cause malfunction(marinda kutatuliwa) to men...
 
Last edited by a moderator:

Ukiwa kwenye ndoa utapata majibu yote kwasasa zinabaki stori
 
Mwambie ur friend ataishia kutatuliwa rinda
 
Uzuri wa michepuko kuna shurba hupati kama vile kutendwa tendwa, kuumizwa, kulizwa, care ndo kwao
hayo ya real love uongo tu ***** real love ipo kwa God tu
 
Inawezekana sana tu ndio maana baadhi ya ndoa huvunjika na mchepuko kupata promotion kubwa ya kuwa nyumba kubwa hili lipo duniani kote si Tanzania tu.


 
Last edited by a moderator:
Hahaha, inahitaji SI unit lol. And are we sure this is really a new feeling? Tafauti kati ya feeling na excitement ni nini?
Is the feeling you feel when you feel the feeling you never felt before...
 
Uzuri wa michepuko kuna shurba hupati kama vile kutendwa tendwa, kuumizwa, kulizwa, care ndo kwao
hayo ya real love uongo tu ***** real love ipo kwa God tu

Haaa haaaa haya bhana so no real love ila hakunaga maumivu..... Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…