Hivi inawezekana?

Hivi inawezekana?

hizi Tamthilia za kina-Alehandro zinaharibu jamii......

Michepuko ina risk kubwa sana,,,,,, ila inafikia mahali watu huchoka na kuaamua kutulizana, sasa ikitokea mtulizano

hauzai furaha iliyotarajiwa ndiyo watu huanza tena kuendeleza michepuko.

Mwanaume ukiamua kuchepuka usichepuke kwa mwanamke mmoja , angalau wafike hata watano mpaka kumi hivi.
 
watano mpaka kumi....noted ...lol
 
Najua ..si ili usihamie kwa mmoja jumla
una avoid emotional attachment.....

haswa , na investment ya kifeeling haiwi kubwa sana , bila kusahau risk ya kuchepuka ilivyo kubwa basi ni bora ufaidi uchepukaji to the fullest , if you get what am saying.
 
Back
Top Bottom