Inawezekana.Punguza hofu.[/QUOT]
haya, Asante Kwa ushauri
Kama ana penzi la kweli haiwezekani kukata muda wote huo ilhali mko jiji moja bila kuonana. Tafakari kisha ufanye maamuzi mazito.
haya maamuzi ni ngumu kuyachukua kuliko kuyaandika!!aendelee kuvuta subira kwa yavuta heri!!!Sio mazito tu, ni machungu!
habar, hv kwel Jaman inawezakawa usionane na mpenzi wako takrban mwez na siku kadhaa kwel na sio mtu waubusy kiivyo, japo mawasiliano yapo pale pale but spending time ni zero na haikuwa hivyo... mm ni lady!
Kama mwanzo haikuwa hivyo ujue unasaidiwa, ila kama ilikuwa hivyo basi punguza hofu. Ila ndo mbinu wanaume huwa tunatumia tunapokuwa tunataka kuacha mtu.
Duh! Mji mmoja?
Hiyo haiwezekani, hapo mapenzi yamepungua au interest imehamia kwingine au kapata kwngn.
Pole sana! Ongea naye kwanza.
Kama ana penzi la kweli haiwezekani kukata muda wote huo ilhali mko jiji moja bila kuonana. Tafakari kisha ufanye maamuzi mazito.
Ukiona sehemu kuna moshi ujue moto unakuja,fanya maamuzi magumu mapema
Keshampata mkavu wewe una Maji sana Sababu ya weupe wako ulishakosea kumpatia ungembania hadi ndoa.. Pole, tafuta mwingine na usimpe nanasi hadi mapinguni
yan mji mmoja kwel Jaman kaah baadh ya wanaume ni nouma! na anaweza jua npo town na yy Yupo town hata kuntafuta jama. just hi! mnaumiza baadh yenu.kaaah...