Hivi inawezekana?

je wewe huwa unamtafuta,na kama ukimtafuta huwa anajibu vipi maana tusijepiga kelele hapa kumbe ni mfumo wenu wa maisha.

ndo maana nkasema mwanzo haikuwa hivyo. na mtafuta ila anavyonpa time table yake ya siku anamaanisha kabisa no time to meet!
 
wachakuchukua ushaurimoja kwa moja hivyo unaposhauriwa na wewe tafiti kupitia huo ushauri maana waweza kasirika na kuchukua maamuzi kumbe unamuumiza mwenzio.ila jaribu kukaa kimya sana ukiona hakuna jibu kutakuwa na tatizo hapo nakuombea amani ya moyo.

haya! Asante.
 
ndugu muongozo inawezekanaje sasa na watu hampo distant, hilo me nadoubt

Inawezekana..Usipochukua uamuzi wa haraka utagundua mengi ambayo pengine ungeharakisha yangeharibu uhusiano wako kwa mtu uliyempenda au mliependana.
::
Kutafuta majibu ya haraka,ni kutaka kuthibitisha maamuzi uliyochukua.Mwezi mmoja bado naamini ni muda wa kawaida ukilinganisha na wanaotengana kwa miezi 6 au mwaka.
NANASI,kumbuka Real Love never die.
::
Lakini pia ni wakati wa kutafakari chaguo lako iwapo ni sahihi.
Kama ni wako ni wako,,ataenda atarudi KEEP FAITH
=
 
Sawa tetra
 
habar, hv kwel Jaman inawezakawa usionane na mpenzi wako takrban mwez na siku kadhaa kwel na sio mtu waubusy kiivyo, japo mawasiliano yapo pale pale but spending time ni zero na haikuwa hivyo... mm ni lady!

kwani umeshamvulia c*upi?
 
ndo maana nkasema mwanzo haikuwa hivyo. na mtafuta ila anavyonpa time table yake ya siku anamaanisha kabisa no time to meet!
mama jichukulie time zako ufanye shughuli zingine kama kuna mtu alikuwa anakutokea ukamkataa kwa ajili yake ungali ulikuwa unamkubali mpe nafasi ya majadiliano,vinginevyo tulizana.hauna mpenzi hapo mama pole kwa kipindi hiki kigumu.

NO and YES yote ni majibu ila kila jibu hapo lina maana na sababu zake!! siku zote usilaumu mtu bila kujua sabu ya kitu na usijipe jibu bila ya kujua swali!!

me napingana na wanaosema kuwa ana mwingine coz hata wewe pia unaweza ukawa una mwingine!!
yawezekana haonani na wewe labda ukiwa naye una m boa vitu flan ambavyo havpend, kwa mfano kila unapokutana naye unataka ku X wakat yeye anataka mara 1 kwa mwez, hapo unadhan ataonana na wewe kila siku au week?

labda amepata tetes kuwa un boy mwingine na anakufatilia kugundua hilo, lazma awe mbali na ww coz ukitaka kumpiga nyani...............

vp wewe umeonyesha kuhtaji kuwa naye ama kuonana naye?

yawezekana hujawah kumwomba muonane na huwa unategemea yeye tu ndo akuambie muonane, sasa na yeye anataka umwambie muonane!!

kwa msaada zaid naomba uni PM, DJ Imma
 
nmeshamuhtaj sana... ila anadai ubusy usio na maana.
 
mama jichukulie time zako ufanye shughuli zingine kama kuna mtu alikuwa anakutokea ukamkataa kwa ajili yake ungali ulikuwa unamkubali mpe nafasi ya majadiliano,vinginevyo tulizana.hauna mpenzi hapo mama pole kwa kipindi hiki kigumu.

ntalifikiria maana si unajua moyo tena ukishadondoka unainuka taratibu
 
habar, hv kwel Jaman inawezakawa usionane na mpenzi wako takrban mwez na siku kadhaa kwel na sio mtu waubusy kiivyo, japo mawasiliano yapo pale pale but spending time ni zero na haikuwa hivyo... mm ni lady!

Inawezekana.. Hasa kama mpenzi ana kero na maudhi kibao.
 
habar, hv kwel Jaman inawezakawa usionane na mpenzi wako takrban mwez na siku kadhaa kwel na sio mtu waubusy kiivyo, japo mawasiliano yapo pale pale but spending time ni zero na haikuwa hivyo... mm ni lady!

Kwa hali sasa,mtu kama anafanya kazi ambayo ni professional na ipo kazi yenye kumhitaji yeye kama yeye awepo,ashiriki atoe taarifa na ni special task uwezekano upo wa hali uliyoitaja.
SIJUI,wewe au yeye mna mwajiri wa aina gani ,jaribu kutambua aina ya kazi anazozifanya na ana nafasi ipi kwa mwajiri wake,hapo unaweza kujua kama ni kweli the guy is busy au la.
 
Back
Top Bottom