Hivi inawezekana kweli?

Dampa

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
810
Reaction score
1,265
Habari bandugu ?
I hope mko poa kabisa na mnaendelea na majukumu yenu km kawaida, anyway nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kwenye hii issue ambayo mpk sasa inaniumiza kichwa sababu nimekuwa napatwa na wasi wasi sana kama inawezekana ama la !

Nauliza hivi inawezekana kutumia provisional result kama certificate kuongezea elimu yaani kuchukua masters au kuombea kazi na ikakubalika ama watazingua coz toka nimalize chuo sikufanikiwa kuchukua certificate till now sababu ya matatizo fulani yaliyonikumba (personal) wakati nagraduate so nikaamua kuanza kufanya biashara tu but now nimeona niongeze elimu kidogo na kuna ajira fulani nataka nitume maombi but nimekua najiuliza is it possible kweli without certificate

Nitashukuru wataalamu wa mambo mkitiririka kwa ushauri
Akhsanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…