Hivi inakuwaje kwenye mapenzi mtu anabaniwa baniwa?

Hivi inakuwaje kwenye mapenzi mtu anabaniwa baniwa?

Mkuu hapa Ngoja niingie Massage Parlour maeneo ya sinza nikanyooshe Mgongo kidogo[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kazi iendelee! Hivi inakuwaje mtu anapangiwa mara nishike hapa, na hapa sitaki unishike. Huduma anatoa na kila kitu, ila wakati wa tendo masharti ni mengi, mara mkao huu wa kuinama siutaki!

Kuna wengine wanapenda kubonyeza kitambi, mara sitaki unichezee kitambi, mara usishike matiti yangu.

Hivi suala hili huenda likawa linachangia biashara ya dadapoa kutokoma kwa sababu demand ni kubwa kwa madhila kama haya.
Mkuu tunashare dame au maana hayo unayoyasema yananikuta mimi aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom