Hivi inakuwaje kwenye mapenzi mtu anabaniwa baniwa?

Kazi iendelee! Hivi inakuwaje mtu anapangiwa mara nishike hapa, na hapa sitaki unishike.

Huduma anatoa na kila kitu, ila wakati wa tendo masharti ni mengi, mara mkao huu wa kuinama siutaki!

Kuna wengine wanapenda kubonyeza kitambi, mara sitaki unichezee kitambi, mara usishike matiti yangu.

Hivi suala hili huenda likawa linachangia biashara ya dadapoa kutokoma kwa sababu demand ni kubwa kwa madhila kama haya.
Tutaamini vp kama huduma unatoa?
 
Ukitaka upate utamu wa mwanamke kitandani akupende, awe amevutiwa na wewe yaani awe na hisia nawe za kimapenzi za ukweli
Bro upo dunia ya ngapi? Tupo 21st century! Hakuna kupendana siku hizi! Ni kutumiana ty. Yaani hela nimetoa halafu tena eti anipende? Sasa hela namlipa ya nini?
 
Tuliowahi kupendwa tuna ushuhuda na hela zao tumezila
Hiyo ni case nyingine, hongera. Ila hela haina thamani kama ni hivyo... yaani nagharamia then eti mtu alete mipaka hata kugusa ziwa akatae... sasa kuna faida gani hapo? Kwani kipi kinapungua kwa dk hizo 40 akauacha mwili wake free kwangu? Kwani naondoka nao? Sasa wasitake tuanze kutembea na bastola.
 
Huwa inakera sana kama vipi uwe unampiga savannah alegee 😅
 
Tumekusikia ... Tutaenda pia kuchunguza madhara ya uzazi wa mpango kwenye hisia za mwanamke
 
Wengine hamjui kushika badala ya kupapasa mtu anafanya kama anakamua majipu pale ni kutiana ashki ila unakuta mtu anapeperusha mambo yenyewe
 
Kazi iendelee! Hivi inakuwaje mtu anapangiwa mara nishike hapa, na hapa sitaki unishike.

Huduma anatoa na kila kitu, ila wakati wa tendo masharti ni mengi, mara mkao huu wa kuinama siutaki!

Kuna wengine wanapenda kubonyeza kitambi, mara sitaki unichezee kitambi, mara usishike matiti yangu.

Hivi suala hili huenda likawa linachangia biashara ya dadapoa kutokoma kwa sababu demand ni kubwa kwa madhila kama haya.
Anadate na mtu ambaye sio wake
 
Huu uzi unanihusu mimi kabisa niko na demu tena nimezaa nae lkn sasa kwenye suala msagamuano hata hanihamasishi yaani naboreka mpaka sina hamu nae ninaweza kaa mpaka mwezi bila kukutana nae,kiufupi ananikata stimu sana huwa sipagawi nae hata kidogo yaani asingekuwa na mtoto mdogo ningepiga chini suala kupangiwa kwenye mapenzi mimi siliwezi
Nilivyosoma huu uzi nimejiuliza ukute ndio huyu huyu demu jamaa anamuongelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom