Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,690
- 9,122
Pengine unamkera.
Unaonekana unacho 😅Ni huyo wake tu 😀😀😀😀
uzi ufungwe😂 jamaa ni mshamba hajui....Muongeze hela 😅
Ni mkeo, mchumba, mpenzi au umemnunu?Kazi iendelee! Hivi inakuwaje mtu anapangiwa mara nishike hapa, na hapa sitaki unishike. Huduma anatoa na kila kitu, ila wakati wa tendo masharti ni mengi, mara mkao huu wa kuinama siutaki!
Kuna wengine wanapenda kubonyeza kitambi, mara sitaki unichezee kitambi, mara usishike matiti yangu.
Hivi suala hili huenda likawa linachangia biashara ya dadapoa kutokoma kwa sababu demand ni kubwa kwa madhila kama haya.
Nani asiyejua JF kuna wajuaji bhana[emoji23] ujuaji mwingi kichwani hakuna kitu... swali lako la kitoto mno kwa bro kama wewe.Mwalimu wako ndio alikwambia ukihudumia kila kitu,unaruhusiwa kuparamia na kushika shika kila mahali?kwanza kabila gani?
Kushika hovyo ndiyo kunakuwaje? Hoja yako dhaifu mno dada yangu Ulweso.Kama unamshika hovyo hovyo kwanini usikataliwe mikono migumu mpaka inakwangua ha ha ha , kushika kwenye kuna ufundi sio kila siku kulaumu wanawake tuu! Wewe unaposhika unashika kama unaangua maembe?
Hao wa matiti ndio wanakera kabisaKazi iendelee! Hivi inakuwaje mtu anapangiwa mara nishike hapa, na hapa sitaki unishike. Huduma anatoa na kila kitu, ila wakati wa tendo masharti ni mengi, mara mkao huu wa kuinama siutaki!
Kuna wengine wanapenda kubonyeza kitambi, mara sitaki unichezee kitambi, mara usishike matiti yangu.
Hivi suala hili huenda likawa linachangia biashara ya dadapoa kutokoma kwa sababu demand ni kubwa kwa madhila kama haya.
Nakaziaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muongeze hela [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii.Kama unamshika hovyo hovyo kwanini usikataliwe mikono migumu mpaka inakwangua ha ha ha , kushika kwenye kuna ufundi sio kila siku kulaumu wanawake tuu! Wewe unaposhika unashika kama unaangua maembe?
Eeh sehemu ambazo hataki kushikwa ndo aweke hela hapo aone kama hatopewa yoteuzi ufungwe😂 jamaa ni mshamba hajui....
UnatuchoshaSiyo miye... ni mjadala huru tu nimeuleta
Inategemea na unavyomshika.Mtu anakerekaje kwa kushikwa?