Hivi inakuwaje kwenye mapenzi mtu anabaniwa baniwa?

Hivi inakuwaje kwenye mapenzi mtu anabaniwa baniwa?

Wrevta

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2023
Posts
1,442
Reaction score
1,733
Kazi iendelee! Hivi inakuwaje mtu anapangiwa mara nishike hapa, na hapa sitaki unishike.

Huduma anatoa na kila kitu, ila wakati wa tendo masharti ni mengi, mara mkao huu wa kuinama siutaki!

Kuna wengine wanapenda kubonyeza kitambi, mara sitaki unichezee kitambi, mara usishike matiti yangu.

Hivi suala hili huenda likawa linachangia biashara ya dadapoa kutokoma kwa sababu demand ni kubwa kwa madhila kama haya.
 
Kazi iendelee! Hivi inakuwaje mtu anapangiwa mara nishike hapa, na hapa sitaki unishike. Huduma anatoa na kila kitu, ila wakati wa tendo masharti ni mengi, mara mkao huu wa kuinama siutaki!

Kuna wengine wanapenda kubonyeza kitambi, mara sitaki unichezee kitambi, mara usishike matiti yangu.

Hivi suala hili huenda likawa linachangia biashara ya dadapoa kutokoma kwa sababu demand ni kubwa kwa madhila kama haya.
Kweli Dada poa ndyo maana wanatafutwa Sana maana wanatoa yote yote BIla kizuizi .
 
Kwa kweli wanaume tinapitia mengi Sana.Mimi Kwa kweli BIla kumshika mwili mzima ikiwemo Yale manyonyo mpaka niridhike na msambwanda siridhikii Bora tuachane tu.
Sio wanaume tu wanapitia mengi, hata wanawake wanapitia makubwa yanaweza kuwa makubwa na mengi kuliko ya wanaume, hivi kama mwanamke hataki si unaweza ukalazimisha ukatimiza haja zako, je kama mwanaume hataki mwanamke anaweza mlazimisha vipi wakati bwana yule yupo fo fo fo? Achani ubnafsi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom