Comrade21
JF-Expert Member
- Apr 27, 2023
- 384
- 560
Kwa sasa hawa dada zetu inabidi tuwasaidiaje ili mpaka wabadilike,Kinachouma huwa wanaangalia na sura za kuzifanyia haya... kwa wahuni hawafanyi haya... wanasuguliwa mpaka vinyeo na vidole illa husikii wakiweka mipaka.
Ila bible ilisha sema nyakati za mwisho upendo wa wengi utapoa ndo haya bro