Hivi imetoka moyoni kweli ?

nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
171
Mi siamini kama jamaa kweli kamwaga mpunga au ndo zile siku tisini za kaka Nape

1.jpg

Mi namtakia biashara nzuri zenye tija na mafanikio.
 
ccm........ccm..ccm, hiki chama kinanikosha kweli, hakina udini, urangi, ukabila, unanhiii !!!!!!! hapa dili tu, ukiwa jambazi mzuri utawekwa mbele tu.
wanachiwa cuf na chadema wamalizane.
 
Yukle jamaa pale magogoni nadhani gamba lake ni la kobe kabsaaaa, sijui kama linavuka
 
ndiyo michezo ya siasa hiyo, tuwangojee hawa mapacha wawili waliobakia.
 
anajitangazia biashara huyu anaona inalipa zaidi ya kuumizana vichwa kwenye siasa
 
amekula hadi amevimbewa afadhali ang'atuke vinginevyo atapasuka
 
huyu ana mkono mrefu mwizi kwelikweli,,anamchezo mchafu wa wizi arudishe hela zetu au akamatwe na afirisiwe.
 
Back
Top Bottom