Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,842 Reaction score 50,556 Jul 20, 2026 Thread starter #161 ChoiceVariable hii stori ni ya mwaka huu?
K Kindus JF-Expert Member Joined May 14, 2014 Posts 4,230 Reaction score 3,330 Jul 20, 2026 #162 Allen Kilewella said: Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani? Click to expand... Bashe alipiga mpunga wake akalala na mia
Allen Kilewella said: Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani? Click to expand... Bashe alipiga mpunga wake akalala na mia
Tareek Azeez JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 14,460 Reaction score 36,073 Jul 20, 2026 #163 Bundi hili hapa ChoiceVariable kutwa ukasuku pepepepe peeepepe.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,643 Reaction score 74,513 Jul 20, 2026 #164 Yule Jamaa Amehadaa Wananchi Alitakiwa Kukamatwa Mpaka Chama Chake wahuni Sana Wale
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,643 Reaction score 74,513 Jul 20, 2026 #165 Huo Ni Mkia Wa Mbuzi Umeshindwa Hata Kusitiri Tupu Yake Lloyd Munroe said: Bundi hili hapa ChoiceVariable kutwa ukasuku pepepepe peeepepe. Click to expand...
Huo Ni Mkia Wa Mbuzi Umeshindwa Hata Kusitiri Tupu Yake Lloyd Munroe said: Bundi hili hapa ChoiceVariable kutwa ukasuku pepepepe peeepepe. Click to expand...
Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,578 Reaction score 8,054 Jul 20, 2026 #166 Watu waliipinga sana humu wakaitwa wapinzani
M Mr Drey New Member Joined Oct 20, 2019 Posts 4 Reaction score 3 Jul 20, 2026 #167 Kiuhalisia vision ilikuwa nzuri na ilikuwa very promising , unfortunately kwenye science wakaweka siasa
Kiuhalisia vision ilikuwa nzuri na ilikuwa very promising , unfortunately kwenye science wakaweka siasa
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,643 Reaction score 74,513 Jul 20, 2026 #168 Sisyphus said: Watu waliipinga sana humu wakaitwa wapinzani Click to expand... CCM Imeshindwa Kila Eneo
Sisyphus said: Watu waliipinga sana humu wakaitwa wapinzani Click to expand... CCM Imeshindwa Kila Eneo