Hivi ile kesi ya Spika Ndugai kumpiga fimbo kichwani mgombea mwenzie iliishia wapi?

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,780
2,555
Wakuu kuna kipindi wakati wa kampeni za kuomba ridhaa kupeperusha bendera za vyama kugombea nafasi ya ubunge spika wetu ndugai alimpiga mgombea mwenzake na fimbo kichwani..wakuu napenda kujua ile kesi iliishia wapi yaani muendelezo wake umefikia wapi
 
ukiwa ccm ni mwiko kushindwa kesi hata mashahid wawe milion 45 yani zaid ya population ya tanzania utashinda tu
 
Wakuu kuna kipindi wakati wa kampeni za kuomba ridhaa kupeperusha bendera za vyama kugombea nafasi ya ubunge spika wetu ndugai alimpiga mgombea mwenzake na fimbo kichwani..wakuu napenda kujua ile kesi iliishia wapi yaani muendelezo wake umefikia wapi
Tulie wewe! au na wewe unataka uchapwe ya matakoni?
 
Wakuu kuna kipindi wakati wa kampeni za kuomba ridhaa kupeperusha bendera za vyama kugombea nafasi ya ubunge spika wetu ndugai alimpiga mgombea mwenzake na fimbo kichwani..wakuu napenda kujua ile kesi iliishia wapi yaani muendelezo wake umefikia wapi
Hivi vitu vya kawaida. Walalahoi ndio wanaoenda jela. Mtu mwenye jina akienda jela ujue kuna wakubwa zaidi yake aliowaudhi.
 
Aisee kweli kabisa..kuna cku mbunge atapigwa fimbo ya kichwa mulemule bungeni
 
Wakuu kuna kipindi wakati wa kampeni za kuomba ridhaa kupeperusha bendera za vyama kugombea nafasi ya ubunge spika wetu ndugai alimpiga mgombea mwenzake na fimbo kichwani..wakuu napenda kujua ile kesi iliishia wapi yaani muendelezo wake umefikia wapi
Ile kesi iliamuliwa kichama na mlalamikiwa alionekana hana hatia na kwa sifa ile ya utumiaji wa rungu dhidi ya mpinzani wake ilichukuliwa ni sifa inayohitajika kuongozea bunge linaloendelea kupokea idadi inayoengezeka ya wapinzani wenye kuhoji mambo ya "siri-kali". Chama kiliamua kumwadhibu kwa kumpa uspika. Hapo ndio ulikuwa mwisho wa kesi. Ili kumkingia kifua, na muzee "vijisenti" amewekwa karibu amsaidie kazi.
 
Duh kama ndo hivyo tumekwisha
 
Yule jamaa sasa ni DC nadhani moja za Wilaya huko Kagera

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom