Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,316
- 8,013
Hapana sisi wote wafupi maana mimi na wife ila mtoto ana 14yrs analingana na mm urefuKwanza labda kafanana na mababu ambao huwafahamu , pili unakuta uhufahamu ukoo wote , upande wa mama na upande wa baba, Tatu angalia mlianza mahusiano lini na ukaanza kura tunda lini na ni mda gani mimba ilianza kuonekana baada ya kumla tunda...
Hakika..nashangaa kaishi na mtoto kwa takribani miaka 14 bado hawajatengeneza "unbreakable bond"?!?..Mkuu nakushauri potezea tu na huyo mtoto chukulia 100% ni wako ili maisha yendelee.
Kama utapima DNA na kuonesha mtoto sio wako utasababisha uyo Dogo aishi maisha magumu na wewe hutafanikiwa au kuongeza chochote kwenye maisha yako kwa kujua hilo bali utaitesa familia yako kwa kukosa amani.
Miaka 14 midogo sana uuko mbele mkishazeeka then unaambiwa sio mwanao huyu wakati huo huna uwezo wa kuzaa tena inauma sana acha nijilipue tu. Kama ni wangu si itakuwa haina shida ila sio wangu mama kwao inamwitaHakika..nashangaa kaishi na mtoto kwa takribani miaka 14 bado hawajatengeneza "unbreakable bond"?!?..
Nguvu ya Mzazi/Mlezi na Mtoto ni zaidi ya damu mkuu..
Isiwe kisingizio cha kutafuta namna ya kupunguza majukumu..
"Hata huko mbeleni mama aje kusema si mwanao, kitakacho matter ni uhusiano mliokwisha ujenga wewe na "mwanao"..
"Most of Us are social fathers".. alisikika mzee mmoja toka jalalani..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Miaka 14 unaita ni kidogo?..basi sawa..Miaka 14 midogo sana uuko mbele mkishazeeka then unaambiwa sio mwanao huyu wakati huo huna uwezo wa kuzaa tena inauma sana acha nijilipue tu. Kama ni wangu si itakuwa haina shida ila sio wangu mama kwao inamwita
Sijakuomba ushauri huu mkuu, huwezi kunifundisha namna ya kufikiri, pia kuishi na familia yangu, so kama hujui kitu you better keep quietMiaka 14 unaita ni kidogo?..basi sawa..
Kwa kauli yako unategemea ukizeeka upate msaada kwa watoto..(nakushauri ondoa hizi fikra unaweza kufa kwa sonona,mtoto anaweza kutangulia mbele za haki,anaweza asiwe na uwezo wa kusaidia,anaweza kuamua asikusaidie hata kama uwezo anao nk)..
Umeshafikiria siku mama/mtoto mwenyewe huko mbeleni akija gundua hizi fikra zako..bila kujali matokeo yake,atakuchukuliaje?..
Ushasema una watoto wengine na huyo mama,kwa maamuzi unayotaka kuchukua,ikaja kugundulika huyo mtoto si wako si ndio kusambaratisha familia!?!.
Unajenga au kubomoa?..
Kaa tafakari,maamuzi unayotaka kuchukua madhara yake kwa wote, sasa na hata baadaye..
Unaweza usikiri,au pengine kwa kutofahamu..yote haya ni excuse eitha ya kumdump mkeo,au kupunguza majukumu ya malezi....
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Kama anaitwa Wakuchepuka Holly star na wewe ushamlea mpaka 14 yrs hakuna shida malizia tu malezi.Hapana sisi wote wafupi maana mimi na wife ila mtoto ana 14yrs analingana na mm urefu
Ulipoleta jukwaani..ulitegemea nini..?kila mtu kutoa maoni yake kadri ya mtazamo wake..Sijakuomba ushauri huu mkuu, huwezi kunifundisha namna ya kufikiri, pia kuishi na familia yangu, so kama hujui kitu you better keep quiet
,Kama anaitwa Wakuchepuka Holly star na wewe ushamlea mpaka 14 yrs hakuna shida malizia tu malezi.
Kupima mpime ili upate sababu ya kuachana na mama yake keshazaa watoto wawili katafute mbichi sasa.
Hata ukikuta ni wa kwako we muache tu sababu kwann akuzalie mtoto mrefu?
FactMiaka 14 unaita ni kidogo?..basi sawa..