Hivi ikitokea Katika itifaki kiongozi kapata tumbo la kukata inakuaje?

KISS 100

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
525
1,100
Salaam,sisi ni binadamu hua Kuna vidharura vya ghafla.Mfano hapo wapo ibada ya maziko halafu mfano kiongozi kashikwa na tumbo la kukata au Hali mbaya kiafya wanafanyeje?
Au mfano kiongozi ana taka kupata short Call mana wazee wengi haipiti nusu saa wanapenda short call sometimes.
Sasa hapo naona wanakaa mda mrefu sioni mtu akienda short call ,au Kuna dawa wanatumia kuzuia?
 
Rais na viongozi wengi wakuu kila chakula chake kinapimwa
 
images (57).jpeg
 
Salvakiir aliwahi jikojolea mbele ya hadhara unayoongelea. Ila pia wakibanwa na haajja wanauwezo wa kutoka na kwenda msalani. Bila katazo lolote. Hmna sijui chakula kina pimwa wala nini. Atatoka pale inapotakiwa.
images (35).jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom