Hivi huyu OCD anajisikiaje huko aliko?

Hivi huyu OCD anajisikiaje huko aliko?

Huyo father mara ya mwisho kukutana nae alikua HQ Dodoma akiwa na cheo cha ACP.huenda atakua kustaafu now.
Mbona Kingai aliyempa kesi mbowe saivi ni DCI na haumuulizii?
 
walikuwa wazuri tutawaleta tena HAI ili amyooshe gaidi mbowe kwenye ubunge2025
 
Naona chadema mnaweweseka. Mlifikiri maridhiano ni mama kutekeleza mawazo yenu? Kama mlifikiri hivyo mumeingia choo cha kike. Mama ni mwenyekiti wa ccm. Wenyewe wanamuangalia kwa mbaali anavyo tango na cdm 🤣😂😆
Wewe zunbukuku hii haijatokea leo. Ni wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2020 enzi za jiwe. Naona unafurahia upupu huu ukidhani umetokea enzi hizi za amani chini ya mama.
 
Huyo father mara ya mwisho kukutana nae alikua HQ Dodoma akiwa na cheo cha ACP.huenda atakua kustaafu now.
Mbona Kingai aliyempa kesi mbowe saivi ni DCI na haumuulizii?
Majibu ya Kingai vuta subra kidogo , leo Jumanne Muliro kapandishwa cheo , taarifa unayo ?
 
Imebidi niulize ili kujua huyu OCD kama bado ni muajiliwa wa Jeshi la Polisi ama labda kishastaafu, maana kwa rekodi zangu Huyu Mpina na Lazaro Mambosasa ndio Polisi ambao rekodi zao za kutumikishwa hazijawahi kuvunjwa.

Mmoja akimtumikia Sabaya na Mwingine akimtumikia Makonda, kinyume kabisa na Viapo vyao vya kuitumikia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

View attachment 2544550
Hana tofauti na wahuni wengine wote waliotamba kipindi kile mpaka sasa na baadhi wamezawadiwa kwa uhuni ule. Huyu siyo ajabu ameshapanda cheo na kuongezewa madaraka. Bado hatujaachana na uhuni huu.
 
Imebidi niulize ili kujua huyu OCD kama bado ni muajiliwa wa Jeshi la Polisi ama labda kishastaafu, maana kwa rekodi zangu Huyu Mpina na Lazaro Mambosasa ndio Polisi ambao rekodi zao za kutumikishwa hazijawahi kuvunjwa.

Mmoja akimtumikia Sabaya na Mwingine akimtumikia Makonda, kinyume kabisa na Viapo vyao vya kuitumikia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

View attachment 2544550
SAWA.

Lakini nadhani kumbukumbu zako zinaanza kufifia haraka, kama kwenye rekodi zako hizo hayumo yule aliyeweka fomula kabisa za jinsi sisiemu ilivyo 'ikwo' na nini, sikumbuki tena vizuri fomula yake hiyo ilivyosema, ... Afande Mroto!

If A = C; then X is equal to...!

Haya mambo tusiyasahau harakaharaka, kwa sababu makosa yana tabia ya kujirudiarudia mara nyingi.
 
Yule anafahamika aliko ndio maana hatukuuliza
 
Waliowekeza kwenye siasa za chuki Maza kawashushua.
Hebu saidia kidogo mkuu 'Imhotep', hizi siasa za sasa tuzipe jina gani?

Ikikupendeza sana, usitaje "za maelewano; za kistaarabu" na maneno ya aina hiyo, kwa sababu hayaendani kabisa na siasa hizi mpya za Mbowe na Samia.

Hebu buni "msemo" sahihi unaofaa kuzielezea siasa hizi.

Binafsi, ningependa kutumia neno "hadaa", lakini huenda likawa zito zaidi kulitumia.
 
nadhani yupo Iringa bado. miezi kadhaa ya nyuma Kingai kama DCI alikwenda Iringa nikamuona kwenye picha waliopigwa akiwa nae huyu pamoja na wakuu wengine wa polisi Iringa
 
Siasa za Maridhiano.
Sikuliweka hilo neno kwa maksudi mazima, nikijua ndilo litakuwa chaguo lako. Nilikuwa sahihi kabisa, kama nilivyokuwa sahihi kwamba hukujiondoa CCM tokea wakati wote ule, ila kama nilivyoelezea kwenye mada fulani humu JF, badala ya kuendelea humo humo CCM na kundi lilelile la Samia wakati wa Magufuli, ukaona bora ukaungane na lile lililo nje ya chama hicho cha CCM; ambayo ndiyo CHADEMA ya Mbowe.

Sasa kundi lenu ndani ya CCM ndilo limeshika hatamu, mnaona ni bora kabisa muwakaribishe ndani na hao walioko huko nje!

Mambo karibuni yatakuwa wazi tu!
 
Back
Top Bottom