Hivi huyu ni nani katika hii picha?

Hivi huyu ni nani katika hii picha?

kwa HIYO kweli huyo kwa sasa ndie baba wa lile Taifa ?
 
comenti zinachekesha aseee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuuuuuuuhhhh,kuna wanadamu wanaakili nyingi sana...huyo jamaaa alietengeneza hiyo picha bonge la geneous
asante bro, kabla cjaichora, hii picha iliniumiza sana akili mpaka kufikia hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom