PutrumpAnaitwa Donavla Putramp
HahahaaaAnaitwa Donavla Putramp
Ni Putin, Pia Ukikaza Macho Anaonekana Trump.
Ina maanisha mmoja wapo ni copycat!hiyo picha ina maana gani kitaalamu
Inamaanisha Putini Na Trump Ni Mtu Moja Katika Miili Miwilihiyo picha ina maana gani kitaalamu
hahaaa ndiye yeye kweli mkuuAnaitwa Donavla Putramp
Inatoka na mkutano wao wa hivi kalibuni mtizamo wao ulionekana kufanana, baadhi ya watu hoko state haiku wapendeza. Huo ni mtizamo wangumaana yake nini picha hiyo.....?
duuuhh mkuu "jana ulilala na paka La wapi?Nikiminya macho naona kama South Africa nikifumbua namuona Dully Sykes
picha ina maanisha " kuwa trump ni mtu anayetumiwa na Russiahiyo picha ina maana gani kitaalamu