Hivi huyu Nabii Michael Leshu ni wa ukweli?

Hivi huyu Nabii Michael Leshu ni wa ukweli?

mbuchi1987

Member
Joined
Oct 15, 2014
Posts
12
Reaction score
3
Jamani waungwana mtujuze kivizuri kuhusu huyu nabii Michael Leshu mwenye kanisa kimara ndani ndani linaloitwa maranatha paraclate.... Inavyosemekani ni NABII anayeweza kutibu mapepo na kuondoa laana katika familia, pia anatabiri maisha yako na wale wachawi wot... hiii ni ukweli? Kama mtu anajua chochote kuhusu yeye atiririke hapa.

Asanteni

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom