Hivi huyu Cisco mbona hayupo kituoni kwake?

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
837
Sasa mbona hayuko kwenye kituo chake cha kazi kazi? au JK kaamua kubadili mawazo ?

Hapa yuko na JK UGANDA juzi

22251.jpg
hapa ni London:

kili121copy-1.jpgkwenye Party

DSC00812-1.jpg

lakini katika picha zote picha hii inaeleza mengi sana kuhusu hawa ma swahiba na sijui kwa nini bosi kaamua kumuondoa jamaa yake kazini

DSC05375.jpg

 
Nasikia kuna mkutano wa mabalozi wote wanaowakilisha Tanzania nje. Mkutano huo utafanyika Zanzibar baada ya wiki ya kwanza au ya pili ya Desemba. Ukizingatia naye anatakiwa na kwa kuwa hajaapishwa rasmi basi nafikiri ni mambo yanayomchelesha.
 
mambo mengi tuu ambayo yanaweza yakawa sababu balozi cisco kutokuwa kituo cha kazi. sina hakika kama ameisha apishwa kama bado yaweza kuwa sababu. pili kama ilivyoezwa hapo juu kwamba yawezekana anangojea kikao hicho cha mabalozi cha zanzibar. tatu inawezekana tarehe aliyopangiwa tarehe ya kuwakilisha hati za uwakilishi kwa mwenyeji wake (waziri mkuu/rais) huko malaysia ipo mbali hivyo hawezi kwenda na kuzubaa tu. nne yawezekana kabisa makazi yake huko malaysia hayajakamilika hivyo hawezi kwenda ishi hoteli (gharama). n.k, n.k

hiyo picha ya london ni ya lini? mbona anaonekana bwm na sio muungwana? nauliza tu
 
Kuna UMUHIM wa kujua hili la CISCO? muda huu? linatusaidia sie au.....
 
Back
Top Bottom