Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Big boy. Jina linaleta ukakasi sanaaImetokea Nina mpenzi hafanyi juhudi zozote za kunitafuta hata SMS wala simu mpaka Mimi nimtafute, akiwa nashida au akiwa na shida ndio ananitafuta cha ajabu kanitambulisha kwa marafiki zake wote, hata sielewi kama ananipenda au nishoo off za town. Miaka karibia miwili sijui anapokaa nikimtafuta nimtembelee yupo bize ila out yupo free, nimekata kutoka nae out karibia mwaka sasa naona kama ananipotezea muda. Upendo wa kuwa namimi anaonesha marafiki zake tu
ok......Rafiki zake wanakufahamu kama danga.
sawa mkuuHakupendi kabisa, yan huyo achana nae tu. Hawez fanya vitu km hivyo, inauma sana
ukakasi gani?Big boy. Jina linaleta ukakasi sanaa
Toka kwenye u boy mambo yataenda sawiaaukakasi gani?
pamoja mkuuwanawake wenye pigo za hivo wala hawawagi wakali sana basi tu ndo maana anakunyonya haswa akumalizie vipesa kidogo mkuu.....
Pia hujasema kama umeila hiyo quuuumer kwa hii mwendo elekea hujaila
shtuka mkuu!!! wewe mpotezee usimcheck akikucheck usijibu mpaka baada ya saa unamwambia umetingwa au usimjibu kabisa yani mtu unamhudumia akiwa na mashida yake alafu pia unamnyenyekea duh
Kuna msemo wazungu wanasema try to be strong and live alone because the person. Who you can't live without can live without you