dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,777
Unaweza ukafanyiwa vibweka hadi ukaimba kikwenu kikiwa na mchanganyiko wa haleluya nyingi sana.Unakataa uteuzi wa "the mighty one"?😂Mtu pekeee aliyegomeaa uteuzi wa Samia Ni ndugu wetu diwani athumani na katibu mkuu wa cwt wengine wote wamekubali na kuacha shughuli zao za maaana na kwenda kufanya Kaz za kitapeli
Mfno ally happy ameacha Kaz zake za shambani na Sasa atakiwepo oficini kuelekeza watu propaganda za CCM na kusubiri posho na maelekezo kutoka juu
CCM kumejaa mafisi JakayaUnaweza ukafanyiwa vibweka hadi ukaimba kikwenu kikiwa na mchanganyiko wa haleluya nyingi sana.Unakataa uteuzi wa "the mighty one"?😂
Weeewe usitake kuchekesha walionuna! Wewe hapo ukiteuliwa utakataa? Ukikataa kama mme mkeo lazima akukimbie!Mtu pekeee aliyegomeaa uteuzi wa Samia Ni ndugu wetu diwani athumani na katibu mkuu wa cwt wengine wote wamekubali na kuacha shughuli zao za maaana na kwenda kufanya Kaz za kitapeli
Mfno ally happy ameacha Kaz zake za shambani na Sasa atakiwepo oficini kuelekeza watu propaganda za CCM na kusubiri posho na maelekezo kutoka juu
Kuna jamaa mmoja somebody ALI MASWANYAMtu pekeee aliyegomeaa uteuzi wa Samia Ni ndugu wetu diwani athumani na katibu mkuu wa cwt wengine wote wamekubali na kuacha shughuli zao za maaana na kwenda kufanya Kaz za kitapeli
Mfno ally happy ameacha Kaz zake za shambani na Sasa atakiwepo oficini kuelekeza watu propaganda za CCM na kusubiri posho na maelekezo kutoka juu
Kiheshima inabidi ukubali na ujaribu kadiri ya uwezo wako. Hiyo kazi uliyokuwa nayo sekita binafsi unaweza kuomba likizo bila malipo endapo mambo yasipokuwa mambo urejee na utapokelewa! Wewe ni mtanzania umesomeshwa kwa subsidised gharama za shule mpaka ukafika hapo ulipo! Serikali imekuona unaweza kutusaidia alafu unasema staki?? Hujitambui labda!Kuna jamaa mmoja somebody ALI MASWANYA
Huyu jamaa aligomea uteuzi wa JPM ukuu wa wilaya..
Alipo ulizwa kwa Nini hakuonekana kwenye kuapishwa akajib simple kua kwa Sasa yeye Ni mwajiliwa wa TIGO TANZANIA
Inasemwa alifanyiwa figisu mpaka akaondolewa kazini
NB;
KWENYE KATIBA ZA THIRD WORLD COUNTRIES RAISI HAGOMEWI WALA HAKATALIWI JAMBO
Ina .maana Kaz za shamba hawataki wanawakwWeeewe usitake kuchekesha walionuna! Wewe hapo ukiteuliwa utakataa? Ukikataa kama mme mkeo lazima akukimbie!
Ukigomea uteuzi wanakupokonya hata uliopewa zamaniMtu pekeee aliyegomeaa uteuzi wa Samia Ni ndugu wetu diwani athumani na katibu mkuu wa cwt wengine wote wamekubali na kuacha shughuli zao za maaana na kwenda kufanya Kaz za kitapeli
Mfno ally happy ameacha Kaz zake za shambani na Sasa atakiwepo oficini kuelekeza watu propaganda za CCM na kusubiri posho na maelekezo kutoka juu
Wote hawana kaziHufatilii yanayojiri mbona hata awamu hii kuna Nyumbu zilipima tena zile za CWT , embu google nini kilifuata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukigomea uteuzi wanakupokonya hata uliopewa zamani
Mfno ally c ni mkulimaUkigomea uteuzi wanakupokonya hata uliopewa zamani
Je Wana wasiliana na mm wakat wananiteua au hknUteuzi wa rais ni wito wa kujitolea ktk maana yake iliyokusudiwa,yaani uongozi "kujitoa kwa ajili ya wengine"unapoitwa kujitolea halafu ukakataa ili ufanye shughuli zako nyingine tafsiri yake ni kama umeona hana maana na wala hastahili kujitoa kikamilifu kwa wananchi.
Unachotakiwa ni kukubali kwanza,kisha uombe kujiuzuru,tena kwa kutoa sababu za msingi kama kujiuguza au kilema cha kushindwa kutumikia nafasi,vinginevyo yatakukuta mengi.
Jaamaa c aliteuliwa kuwa mnikuluu sijuui akagoma na had Sasa ajulikani alikoDiwani aligomea uteuzi upi.. tukumbushane kdg.
Ila jamaa si alikuwa Boss la Vipepeo weusi.. nani wa kumgusa?
Anhaa ndani ya Ikulu? Means alitolewa Uboss alaf awe Karani..😅Jaamaa c aliteuliwa kuwa mnikuluu sijuui akagoma na had Sasa ajulikani aliko
Akigomea uteuzi utasikia ameambiwa aondoke shambani kupisha mradi wa barabara mpyaMfno ally c ni mkulima
Sio lazima,kama ambavyo unaamka uwahi kazini unafika junction unapigwa stop apite makamu kwanza,hakuna kitu utafanya na ukiamua kukaza unalegezwa.Je Wana wasiliana na mm wakat wananiteua au hkn