Hivi huwa unafikiri ni kwanini hao hawaongei kabisa?

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,318
DqI4nIjWkAAOOza.jpg


Unafikiri kwanini wakirudi hawaongei hata chembe.........? uwe cheo,uwe maarufu,uwe na pesa ..........thubutu mdomo ni full closed

Maana yake nini na inakupa picha gani?
 
Mimi nafkiri huwa wanafanyiwa mchezo mbaya huku wakirekodiwa kwa video
Siku wakiachiwa wanatishiwa kuwa ukisema tu,!!!!!
Tutaisambaza video yako mitandaoni
Ndio maana huwa hawasemi wanakufa na tai yao shingoni
 
Ulimboka, Roma, Mo, hata mzee Warioba tangu apewe kibano na Bashite, aliufyata mpaka mtoto wake kapewa ukuu wa Wilaya.
 
Back
Top Bottom