Asante Tulia kwa kusema ukweli kuwa mikutano ya CCM huwa mnawasomba watu kutoka vijijini na mabasi

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Siku zote ukiwa muongo basi jitahidi uwe na kumbukumbu ili usije kusahau na kutoa siri ukaumbuka.

Watanzania tulikuwa tunawasema ccm kuwa wanasomba watu kwa mafuso kutoka sehemu za mashambani kwenda kwenye mikutano yao.

Walikuwa wanakataa kabisa kuwa hao ni watu waliojitokeza kwa hiari yao kwenda kwenye mikutano yao maana ccm ni chama pendwa.

Leo hii Tulia kaamua kutema ukweli kuwa wao ccm huwa wanawapelekea magari kuwasomba wananchi ili waende kwenye mikutano yao.

Asante sana dada yetu miss Mbeya.
 
Screenshot_2024-02-20-16-25-42-1.png
 
Duh! Siasa zetu hovyo. Katumia muda wote kurusha vijembe.
Kero za wananchi ziko pale pale. Na Hutu ndio akili kubwa ndani ya CCM
 
Mshamba tu huyo na wapumbavu wenzake wa aina yake. Demu mbaya mshamba afu mjinga njinga.🚮
 
Hao ndio watanzania sasa watu wanafki kupita wote duniani, baada ya haka kabibi kachawi kusema wame ongeza muda wa kukatika katika kwa umeme hadi mwezi wa sita watanzania walitukana na kulaani vikali kauli yake, alafu ndio hao wanashangilia kama wameambiwa sukari imeshuka bei maneno ya kejeli na dharau kutoka kwa mtu yule yule🤔🤔 lakini haka kabetina kana sura mbaya mbovu kama kana kunywaga uji wa simenti 😁😁
 
Siku zote ukiwa muongo basi jitahidi uwe na kumbukumbu ili usije kusahau na kutoa siri ukaumbuka.

Watanzania tulikuwa tunawasema ccm kuwa wanasomba watu kwa mafuso kutoka sehemu za mashambani kwenda kwenye mikutano yao.

Walikuwa wanakataa kabisa kuwa hao ni watu waliojitokeza kwa hiari yao kwenda kwenye mikutano yao maana ccm ni chama pendwa.

Leo hii Tulia kaamua kutema ukweli kuwa wao ccm huwa wanawapelekea magari kuwasomba wananchi ili waende kwenye mikutano yao.

Asante sana dada yetu miss Mbeya.View attachment 2914861
Mbona hata Makonda alisema waache kusomba watu wajipime wenyewe?
 
Katika hilo la ubaya wa sura ,rangi na shepu hapo hana kosa lolote yeye ni binadamu tu tayari ameshaumbwa hivyo hakuna alieamua ataumbwa vipi
Kwani Lowasa alipenda kuugua, mbona walikejeli na kumdhihaki kuwa anaji....ea, kuna mtu anapanga kuugua!
 
Back
Top Bottom