Hivi huwa mnatest mitambo au?

Hivi huwa mnatest mitambo au?

Hampewi fursa sababu mkipata fursa mnajiona kama ndo vidume kuliko wote mnaanza kutumiana picha za watu. Ndo maana wanawake humu wanawaogopa. Mtu mkiongea kidogo unamtangaza. Akikutumia picha unashare na wenzio kwanini tusiwachunie tu pm.
Kwahiyo ww ulimtumia picha yako mtu akawatumia watu?!
 
Mimi nilidhani unaongea kwa uhakika kama imekutokea ww. Mtu mpk mmetumiana picha ujue kuna progress sn katika mawasiliano yenu humu.
Nina uhakika ndio ndo tabia ya baadhi ya watu humu. Hata kukiwa ba progress kwenye mawasiliano haimpi mtu uhalali wa kusharw picha yangu na members wengine humu. Sasa watu tunaambiana kuwa ndo tabia za wanaume wa JF hawana kumaliza mambo ya private kubaki private wanayaleta kwa members wengine humu. Tena kuna mmoja hata ikatokea ukachat nae tu kawaida PM anawaambia wenzake. Wengine picha. Wengine ukionana nao wanakwambia we sio type yangu. Utakuta hao wanaitafuta waachumba humu huwa wanatonywa pia tabia za baadhi yenu ndo maana wanaamua kumute wanaogopa yasiwakute
 
Humu ukisikiliza kila unachoambiwa na watu kila mtu atakuwa mbaya
 
Hao ni washamba tuu wanaofanya hivyo, ila wengine tupo cool tuu mbona, lakini kama wanaona wanaume wa JF wapo hivyo kwanini wasiende Insta na kwingineko huko kupost mambo yao hayo!!

Kitendo chao cha kupost humu tuu kinamaanisha hata wao wanaamini wapo wengine wastaarab ambao hawana mambo ya kishamba
 
Hahahahaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom