Kabisa..
Au ni wanaume nini
Wachukuliwe hatua na mods..
ID feki kujifanya binti ni ushoga
Kama li-Miss Natafuta linakera kweli....halijibu pm.
wamekusikiaHivi nyie wadada wa Jf inakuwaje inakuta mtu hapa analalamika ooh sijui natafuta mme,mwingine mchumba ,mwingine mashine halafu PM hamjibu?
Au kuna watu wanawajaribu watu wao humu wanajifanya wanatafuta vitu tajwa..[emoji15]
Acheni kujaribu wanaume,kumbuka hatujaribiwagi (in uncommanded commander's tone).
Halafu nyie mnawaharibia wanaotafuta masuala ya msingi kweli...
Badilikeni!!
Hampewi fursa sababu mkipata fursa mnajiona kama ndo vidume kuliko wote mnaanza kutumiana picha za watu. Ndo maana wanawake humu wanawaogopa. Mtu mkiongea kidogo unamtangaza. Akikutumia picha unashare na wenzio kwanini tusiwachunie tu pm.Tupo wengi jukwaa lingenoga wakitupa Fursa
Hampewi fursa sababu mkipata fursa mnajiona kama ndo vidume kuliko wote mnaanza kutumiana picha za watu. Ndo maana wanawake humu wanawaogopa. Mtu mkiongea kidogo unamtangaza. Akikutumia picha unashare na wenzio kwanini tusiwachunie tu pm.
Hao ndio wanatuharibia sasa kama kweli wanafanya hivyo..Hampewi fursa sababu mkipata fursa mnajiona kama ndo vidume kuliko wote mnaanza kutumiana picha za watu. Ndo maana wanawake humu wanawaogopa. Mtu mkiongea kidogo unamtangaza. Akikutumia picha unashare na wenzio kwanini tusiwachunie tu pm.
Hakuna mbaya kama tunaweza fanya project@Mzigua90Hampewi fursa sababu mkipata fursa mnajiona kama ndo vidume kuliko wote mnaanza kutumiana picha za watu. Ndo maana wanawake humu wanawaogopa. Mtu mkiongea kidogo unamtangaza. Akikutumia picha unashare na wenzio kwanini tusiwachunie tu pm.
Habari ndo hiyo sasa.Hao ndio wanatuharibia sasa kama kweli wanafanya hivyo..
Ila haiondoi lawama kwa haya majinga yanayotangaza tenda halafu yanakimbia
Project gani?Hakuna mbaya kama tunaweza fanya project@Mzigua90
Nashukuru huwa unanijibu hii ina maana Nina ushawishi kwa ninachokiandikaUkiona hajajibu hajavutiwa na wewe wapo anaowajibu. Hamjui tu ila hata mnavyoandika humu huwa inampa ushawishi mtu wa kukujibu pm.
[emoji16][emoji16][emoji16]Nashukuru huwa unanijibu hii ina maana Nina ushawishi kwa ninachokiandika
Huko pm kuna SMS nimetuma naomba ujibu kwanza mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]