Hivi huwa hamna ushamba wa madaraka?

Hivi huwa hamna ushamba wa madaraka?

Ushamba upo kila sehemu hata kwenye ndoa ushamba upo sembuse kwenye uongozi tena ushamba wa viongozi unakuwa kwa haraka sana
 
Ukuta umewashinda eeh, sisi ndio tumemchagua na ushamba wake yule wenu tumemkata kwenye chama na huku kwenye ballot box endeleani kuregeza pua tu huku mnashika UKUTA.
 
Back
Top Bottom