Hivi huwa hamna ushamba wa madaraka?

Hivi huwa hamna ushamba wa madaraka?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,643
Reaction score
164,790
Je,ushamba ni wa vitu na hakuna ushamba wa madaraka?

Je,hujawahi ona mtu kapewa cheo cha umeneja tu basi inakuwa shida kwake mwenyewe na kwa wengine?

Wadau hebu tujadiliane juu ya hili.
 
Umeacha kumuuliza LWS jana alikua Azam tv anahojiwa,huyo lazima angekupatia majibu kwani hio kitu inamuhusu
 
Je,ushamba ni wa vitu na hakuna ushamba wa madaraka?

Je,hujawahi ona mtu kapewa cheo cha umeneja tu basi inakuwa shida kwake mwenyewe na kwa wengine?

Wadau hebu tujadiliane juu ya hili.
tangu saibakraimu ianze nyuzi sizielewi vema.
 
Je,ushamba ni wa vitu na hakuna ushamba wa madaraka?

Je,hujawahi ona mtu kapewa cheo cha umeneja tu basi inakuwa shida kwake mwenyewe na kwa wengine?

Wadau hebu tujadiliane juu ya hili.
Kama ni ushamba wa madaraka basi atakuwa nao Lowasa.
 
Tena upo sana tu!!

Mimi ndio rais hamna mwingine .

Kwan nan hajui kuwa ww ndio raisi?
Hapo ni ushamb-------~a
Nyoosha vizuri point malizia vizuri hapo halafu tuambie unamaanisha rais wa tff au wa chuo gani?
 
Back
Top Bottom