Mmh! Kwa huyu kiranja ni sawa na kupiga ngumi ukuta. Anawashauri Lakini nasikie badala ya Wao kumshauri yeye ndo anaewashauri.
Chumvi nyingiTANZANIA NI NCHI YA MAZINGAOMBWE NA MAUZA UZA
SIJUI MTOA MADA ANAONGELEA WATAALAMU WA AINA GANI......
MAANA HATA JAKAYA KIKWETE ALIZUNGUKWA NA WATAALAMU LUKUKI NA WENGINE ALIKUWA ANASAFIRI NAO LAKINI SOTE TU MASHAHIDI WA NCHI ILIVYO.......
KILA MTU ANATAFUTA OPPORTUNITY YA KUIBA NA KUWA TAJIRI KWA HARAKA HARAKA........
WATAALAMU TULIOWATUMAINIA NDIO HAO WALOTUMIA UTAALAMU WAO KUTUINGIA KWENYE MIKATABA FEKI NA YENYE KULITIA HASARA TAIFA.......
WATAALAMU WA MAJENGO TULIOWAAMINI KUSIMAMIA MAJENGO YETU NDIO HAO WANAOJENGA MAJENGO MABOVU YANAYO GHARIMU MAISHA YA WATU.......
WATALAAMU TULIOWAPA DHAMANA YA MIUNDOMBINU NDIO HAO WANAOSAINI BARA BARA ZA CHINI YA KIWANGO......
WATAALAMU TULIOWAAMINI KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI NDIO WANAOTULETEA AJALI KILA KUKICHA NA KUPUNGUZA NGUVU KAZI YA TAIFA HILI.......!!!!
HII YOTE NI SABABU YA 10%
NB;
KITU CHA KWANZA NI UZALENDO ALAFU NDIO UJE UTAALAMU.....
UTAALAMU PASI NA UZALENDO HAUNA FAIDA KWA TAIFA BALI HASARA KWA TAIFA......
MUNG IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI AFRIKA
Unachagua Rais mtu mgonjwa wa akili unategemea nini!? Mkewe tu huko nyumbani anampiga mitama kwa makosa ya kuwahi kula kichwa cha samaki kwenye bakuli sasa ana akili huyu
Huyu hizo akili zenyewe hana kabisa.Unachagua Rais mtu mgonjwa wa akili unategemea nini!? Mkewe tu huko nyumbani anampiga mitama kwa makosa ya kuwahi kula kichwa cha samaki kwenye bakuli sasa ana akili huyu
Ana experience miaka 25Hii ni baada ya bomoabomoa ya vile vibanda vya chipsi inayoendelea nchi nzima..bomoabomoa iliacha watu vinywa wazi na kujiuliza kama walifanya makosa kumfanya yule mtu awe kiranja wao wa ule ukoo!
Saaa nikachanganyikiwa zaidi niliposikia lile banda la kuku linatakiwa kubomolewa! Nikajiuliza swali: JE kiranja wetu huwa nawauliza wahusika kuhusu njia yoyote au uwezekano wowote wa kulinusuru lile banda au vile vibanda vya chipsi kule kabla ya kuvibomoa!?
Je hawa wataalamu wetu huwa wanatoa ushauri wa kitaalamu hata kama unamuumiza kiranja!? Au huwa nao wanapindisha taaluma ili kwenda sawa na kiranja!?
Alafu yule kiranja wetu anasema anapunguza matumizi lkn nikiangalia hili banda likibomolewa itakuwaje!? Je kuna banda lingine limeshajengwa kwa ajili ya kazi hii..!? Je limejengwa kwa pesa ngapi!? Ss kama tukifanya namna yoyote kuinusuru hiyo pesa si tungeweza kuitumia kupelekea watoto shule!?
Baadae nikaiona picha kutoka ukoo wa jirani..picha ikionesha wataalamu wa ujenzi wamejenga njia ya juu inayofanana na yetu lakini imepindishwa vizuri ili kulikwepa banda moja kuubwa la kuku wao.nikawapa heko wale waheshimiwa wa ukoo ule kwa kufanya maamuzi yasioumiza upande mwingine.
Nisiwe muongo kwakweli lile banda la kuku litaniuma kama likibomolewa,kiranja nakuomba usikie haya.
Ni hayo tu.