Hivi huwa anawashirikisha wataalamu kabla ya kufanya maamuzi!?

Ugiligili

JF-Expert Member
Jun 20, 2014
3,023
4,050
Hii ni baada ya bomoabomoa ya vile vibanda vya chipsi inayoendelea nchi nzima..bomoabomoa iliacha watu vinywa wazi na kujiuliza kama walifanya makosa kumfanya yule mtu awe kiranja wao wa ule ukoo!

Saaa nikachanganyikiwa zaidi niliposikia lile banda la kuku linatakiwa kubomolewa! Nikajiuliza swali: JE kiranja wetu huwa nawauliza wahusika kuhusu njia yoyote au uwezekano wowote wa kulinusuru lile banda au vile vibanda vya chipsi kule kabla ya kuvibomoa!?
Je hawa wataalamu wetu huwa wanatoa ushauri wa kitaalamu hata kama unamuumiza kiranja!? Au huwa nao wanapindisha taaluma ili kwenda sawa na kiranja!?

Alafu yule kiranja wetu anasema anapunguza matumizi lkn nikiangalia hili banda likibomolewa itakuwaje!? Je kuna banda lingine limeshajengwa kwa ajili ya kazi hii..!? Je limejengwa kwa pesa ngapi!? Ss kama tukifanya namna yoyote kuinusuru hiyo pesa si tungeweza kuitumia kupelekea watoto shule!?

Baadae nikaiona picha kutoka ukoo wa jirani..picha ikionesha wataalamu wa ujenzi wamejenga njia ya juu inayofanana na yetu lakini imepindishwa vizuri ili kulikwepa banda moja kuubwa la kuku wao.nikawapa heko wale waheshimiwa wa ukoo ule kwa kufanya maamuzi yasioumiza upande mwingine.
Nisiwe muongo kwakweli lile banda la kuku litaniuma kama likibomolewa,kiranja nakuomba usikie haya.
Ni hayo tu.
 
Teacher mpamire alishamaliza, ukisikiliza vizuri clip take utajifunza mambo mengi sana
 
Ndio uwezo wake wa kufikiri ulipoishia na kwa vile sasa ni wakati wa "one man show" basi imekula kwetu.
 
TANZANIA NI NCHI YA MAZINGAOMBWE NA MAUZA UZA

SIJUI MTOA MADA ANAONGELEA WATAALAMU WA AINA GANI......

MAANA HATA JAKAYA KIKWETE ALIZUNGUKWA NA WATAALAMU LUKUKI NA WENGINE ALIKUWA ANASAFIRI NAO LAKINI SOTE TU MASHAHIDI WA NCHI ILIVYO.......

KILA MTU ANATAFUTA OPPORTUNITY YA KUIBA NA KUWA TAJIRI KWA HARAKA HARAKA........

WATAALAMU TULIOWATUMAINIA NDIO HAO WALOTUMIA UTAALAMU WAO KUTUINGIA KWENYE MIKATABA FEKI NA YENYE KULITIA HASARA TAIFA.......

WATAALAMU WA MAJENGO TULIOWAAMINI KUSIMAMIA MAJENGO YETU NDIO HAO WANAOJENGA MAJENGO MABOVU YANAYO GHARIMU MAISHA YA WATU.......

WATALAAMU TULIOWAPA DHAMANA YA MIUNDOMBINU NDIO HAO WANAOSAINI BARA BARA ZA CHINI YA KIWANGO......

WATAALAMU TULIOWAAMINI KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI NDIO WANAOTULETEA AJALI KILA KUKICHA NA KUPUNGUZA NGUVU KAZI YA TAIFA HILI.......!!!!

HII YOTE NI SABABU YA 10%

NB;
KITU CHA KWANZA NI UZALENDO ALAFU NDIO UJE UTAALAMU.....

UTAALAMU PASI NA UZALENDO HAUNA FAIDA KWA TAIFA BALI HASARA KWA TAIFA......

MUNG IBARIKI TANZANIA

MUNGU IBARIKI AFRIKA
 
Chumvi nyingi
 
Human Face kwake yeye ni "kuwasamehe" wasibomoleshwe waliompigia kura peke yake, ambao ni watu wa Mwanza!

Jengo la umeme lipo jimbo la Ubungo, ambalo lipo chini ya uoinzani, kwa hiyo lenyewe halina budi kuvunjwa!
 
Ni kweli kabisa hii Taasisi nyeti ya Urais inabidi kuwe na vijana walioandaliwa wamepimwa kila kitu hasa mwezi nchanga.....maana ni balaa....unapiga Nke hadi kulazwa kwa kosa la mboga? Au kosa la mtoto hakwenda shule? Kweli kwa level uliofokia? Nyumba takatifu unainajisi!!!! Turudi kwenye misingi
Unachagua Rais mtu mgonjwa wa akili unategemea nini!? Mkewe tu huko nyumbani anampiga mitama kwa makosa ya kuwahi kula kichwa cha samaki kwenye bakuli sasa ana akili huyu
 
Huyu hizo akili zenyewe hana kabisa.
 
Angewashirikisha wataalamu jengo lile la Tanesco lingekuwa ni fursa ya kupamba eneo la maingilio ya magari jijini Dar es salaam kupitia Morogoro Road. Wataalamu wangechora mchoro wa flyover wenye muundo wa nyoka na hivi kulifanya jengo la Tanesco kuwa kama ua (flower) fulani lenye kuleta mandhari nzuri kabisa la eneo hilo. Huo ndio utaalamu unaotakiwa. Jengo liwe fursa badala ya laana. Kiranja abadilike.
 
Hii ni baada ya bomoabomoa ya vile vibanda vya chipsi inayoendelea nchi nzima..bomoabomoa iliacha watu vinywa wazi na kujiuliza kama walifanya makosa kumfanya yule mtu awe kiranja wao wa ule ukoo!

Saaa nikachanganyikiwa zaidi niliposikia lile banda la kuku linatakiwa kubomolewa! Nikajiuliza swali: JE kiranja wetu huwa nawauliza wahusika kuhusu njia yoyote au uwezekano wowote wa kulinusuru lile banda au vile vibanda vya chipsi kule kabla ya kuvibomoa!?
Je hawa wataalamu wetu huwa wanatoa ushauri wa kitaalamu hata kama unamuumiza kiranja!? Au huwa nao wanapindisha taaluma ili kwenda sawa na kiranja!?

Alafu yule kiranja wetu anasema anapunguza matumizi lkn nikiangalia hili banda likibomolewa itakuwaje!? Je kuna banda lingine limeshajengwa kwa ajili ya kazi hii..!? Je limejengwa kwa pesa ngapi!? Ss kama tukifanya namna yoyote kuinusuru hiyo pesa si tungeweza kuitumia kupelekea watoto shule!?

Baadae nikaiona picha kutoka ukoo wa jirani..picha ikionesha wataalamu wa ujenzi wamejenga njia ya juu inayofanana na yetu lakini imepindishwa vizuri ili kulikwepa banda moja kuubwa la kuku wao.nikawapa heko wale waheshimiwa wa ukoo ule kwa kufanya maamuzi yasioumiza upande mwingine.
Nisiwe muongo kwakweli lile banda la kuku litaniuma kama likibomolewa,kiranja nakuomba usikie haya.
Ni hayo tu.
Ana experience miaka 25
Ni mtaalamu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom