Hivi huu mchezo unahitaji hasira

Hivi huu mchezo unahitaji hasira

Double square

Member
Joined
Feb 15, 2016
Posts
58
Reaction score
16
Habari wadau nimependa kutoa mada hii kwenu nipate walau comments zenu uko kwenye ndoa then mwenzi wako anakuhitaji mmnaanza maandalizi kabla ya kuingia mchezoni mwenzio anabadilika gafla anakasirika na kugeukia upande mwingine sababu unacheleweshea.
Je maandalizi siyo muhimu wadau??? Maoni yenu
 
Haina fomula inategemea na mtu wako tu hii mambo.
Kama mtu wako anapata hashki haraka na ww pia nenda nae hivyo.
 
Haina formula jitahid kupata na beat
 
Jiandae vyema kumaliza elimu ya msingi

" maandalizi Muhimu"
 
Back
Top Bottom