Nadhani ndivyo ilivyo upigaji wanafanya wakubwa wakati wanapotangaza tender % fulani lazima imegwe hivyo miradi kutoonekana na thamani ya kilichoandikwa pindi imalizikapo
Nimekupata mkuuNdio maana nikasema kuwe na re-evaluation from time to time,kuona kilichofanyika ndio unaenda next stage
KumbeNadhani ndivyo ilivyo upigaji wanafanya wakubwa wakati wanapotangaza tender % fulani lazima imegwe hivyo miradi kutoonekana na thamani ya kilichoandikwa pindi imalizikapo
Ndio maana nikasema kuwe na re-evaluation from time to time,kuona kilichofanyika ndio unaenda next stage
Ukisoma report ya CAG utagundua kuwa ufisadi umeongezeka tangu jiwe aingie madarakani ni ajabu. Na CAG huyu atakuwa mwiba mkali hata zaidi ya CAG aliyepita kama ataamua kutokuangalia nyani usoni hata boss wake ataumbuka.Hello JF,
Kama wengine walivyoshtuka Ufisadi uliotajwa na CAG, mimi pia nimeshangaa. Ningependa kumshauri Rais na washauri
wake kusimamia Mali za watanzania vyema kila mtanzania ale keki ya taiifa.
Ningependa kujua utaratibu ni upi wa kuidhinisha pesa maanake kiwango cha ufisadi ni kikubwa sana. Mimi na-suggest kama pesa inatolewa in lump sum, then huu utaratibu ufe. Wizara ama project inayohitaji hela lazima iwe broken into small chunks.
Pesa itolewe kidogo kidogo kufanya lililokusudiwa and then utaratibu uwepo wa ku re-evaluate hizo project kabla ya kuidhinisha pesa nyingine.
Utaratibu uwe evidence practice, kwanza inaonyesha ulichofanya then ndio unapewa hela to do next step.
Tumsaidie Rais wetu maanake Haya mafisadi yanamvua nguo as angependa serikali yake iwe ya wanyonge kina Becky hapa.☺☺☺😢😩
Basi wote tumeoza,lol, hata kama ni kuchota sio kwa kiasi kile,very selfish
Hello Rebecca,Hello JF,
Kama wengine walivyoshtuka Ufisadi uliotajwa na CAG, mimi pia nimeshangaa. Ningependa kumshauri Rais na washauri. wake kusimamia Mali za Watanzania vyema kila Mtanzania ale keki ya taiifa.
Ningependa kujua utaratibu ni upi wa kuidhinisha pesa maanake kiwango cha ufisadi ni kikubwa sana. Mimi na-suggest kama pesa inatolewa in lump sum, then huu utaratibu ufe. Wizara ama project inayohitaji hela lazima iwe broken into small chunks.
Pesa itolewe kidogo kidogo kufanya lililokusudiwa and then utaratibu uwepo wa ku re-evaluate hizo project kabla ya kuidhinisha pesa nyingine.
Utaratibu uwe evidence practice, kwanza inaonyesha ulichofanya then ndio unapewa hela to do next step.
Tumsaidie Rais wetu maanake Haya mafisadi yanamvua nguo as angependa serikali yake iwe ya wanyonge kina Becky hapa.[emoji5][emoji5][emoji5][emoji22][emoji30]
Very good. Unampa tender mtu kujenga gh'orofa, unampa pesa ya foundation, anamaliza, tena chini ya usimamizi. Unakwenda Mwenye Mali unakagua. Kama ujenzi umekwenda chini ya makubaliano, mjenzi, msimamizi wote viboko vya makalioni!!!!!!Nimekupata mkuu
Very good. Unampa tender mtu kujenga gh'orofa, unampa pesa ya foundation, anamaliza, tena chini ya usimamizi. Unakwenda Mwenye Mali unakagua. Kama ujenzi umekwenda chini ya makubaliano, mjenzi, msimamizi wote viboko vya makalioni!!!!!!