Hivi huo ndio Usafiri wa bodaboda Jijini Dar?

Hivi huo ndio Usafiri wa bodaboda Jijini Dar?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,958
10612813_658559134250991_792223028109605864_n.jpg
 
Ngoja wakutane na wapunga mkono ndio wataeleza kofia wamemwachia nani
 
Ngoja wakutane na wapunga mkono ndio wataeleza kofia wamemwachia nani

Duuh,jana saa 4:30 usiku nimewakuta wawili wamekufa hapo Vingunguti baada ya kugongwa. Hivi serikali ina mpango gani wa kupunguza vifo kwa bodaboda?
 
Duuh,jana saa 4:30 usiku nimewakuta wawili wamekufa hapo Vingunguti baada ya kugongwa. Hivi serikali ina mpango gani wa kupunguza vifo kwa bodaboda?

90% ya ajali za bodaboda zinasababishwa na wenyewe waendesha bodaboda, anaingia barabara kubwa bila kuangali kulia na kushoto, ana overtake kushoto, anasikiza muzuki hata kuongea na simu wakati mwingine hapo serikali ifanye niini?
 
Duuh,jana saa 4:30 usiku nimewakuta wawili wamekufa hapo Vingunguti baada ya kugongwa. Hivi serikali ina mpango gani wa kupunguza vifo kwa bodaboda?

90% ya ajali za bodaboda zinasababishwa na wenyewe waendesha bodaboda, anaingia barabara kubwa bila kuangali kulia na kushoto, ana overtake kushoto, anasikiza muzuki hata kuongea na simu wakati mwingine hapo serikali ifanye nini?
 
kama si mgonjwa.....basi ni...
rice-instant.jpg
 
Abiria alivyojilegeza ni mashaka matupu.

Hakuna mwanaume hapo
 
Harufu mtazamo au matarajio yetu yana fanana na eala hujakosea
 
Abiria kama mwali hata madam hawezi kukaa hivyo kuboda boda
 
hapo hakuna cha abiria soda ya watu hiyo akifika anainywa
 
Back
Top Bottom