Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga?

Kuna wengine ujinga umo ndani ya damu zao "genetically".

Sasa fikiri ikiwa wewe ni mjinga wa damu na Mwalimu nae hali kadhalika! Matokeo?
 

mhimu = muhimu.

ktk = katika.

ndo = ndiyo.

umakini unahitajika.
 
Faiza acha kutukana walimu na cdhani kama kuna shule inafundisha somo la ujinga angalia usije ukawa ww ndo mjinga coz hujui hata wanaokwenda shuleni wanakwenda kufanya nn.
 
we uswahilini zipo kibao viguberi vya uswahilini bora watoto wanye wamesimama lakini cheni na pete zijae shingoni na vidoleni.labda hupajui uswazi

Uswazi wapi huko watu wanavaa kamba za bling blau acha uongo taja kwa jina tufanye utafiti.
 
mhimu = muhimu.

ktk = katika.

ndo = ndiyo.

umakini unahitajika.

Uko sawa, lakini nilichokuwa namaanisha ni makosa makubwa yanayobadilisha maana lengwa.

Kwa mfano, mgombea ubunge jimbo la Meatu, yule mwarabu, katika mkutano wake wa kufunga kampeni, alizua kasheshe pale alipo bugi kutamka mwaka elfu mbili na kumi. Badala ya kumi yeye alitamka nanihiii.

Kwa hiyo wagombea wezangu katika mikutano ya kampeni tunapaswa kuwa na ulimi wa ufasaha kama wa Tundu Lissu.
 
Hakuna cha mkapa. MUUZA NYUMBA anajulikana kila mtu abebe msalaba wake angejiuzulu basi.

Kwa lipi zaidi? Wewe katika wale watu ambao hawana fikra hata chembe, wewe ni mmoja wapo.

Nyumba uliyoidhulumu kama serikali inakusaidia nini?

Nyumba ziliouzwa utakuta zote zilidhulumiwa (taifishwa) watu. Tena ningekuwa mimi kwanza ningeanza kurudisha bure kwa waliodhulumiwa na wanapokosekana wenyewe ningeziweka kwenye trust fund ya kusaidia kila aliyedhulumiwa wakati wa udhalimu, niliondoe kabisa hilo doa la udhalim kwenye nchi. Kumbuka hilo.
 
Kugawa nyumba kwa mademu zako sio udhalimu ni ushujaa kweli?Au ndo ushabiki.
 

Kijijini Kwenu Mnaedit Qur'an Au Biblia?
 
Kijijini Kwenu Mnaedit Qur'an Au Biblia?

Kwa uelewa futi tatu, Biblia ilishushwa kutoka mbinguni hivyo ilivyo? Ndiyo maana yule Pastor wa S. Africa alikuwa anawalisha panya na mijusi waumini wake! Hata Kibwetele wa Uganda, baada ya kukundua ameathirika HIV, aliona asife peke yake. Waumini walikuwa na ulemavu wa fikra kama wewe. Hakuna kuhoji.

Kwa taarifa yako, vitabu vitukufu viliandikwa na watu kama wewe, kama ilivyo kwa Kamusi na Dictionary - kulikuwa na jopo la magwiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…