Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga?

Mtoto wa Mama Samia

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
772
Reaction score
392
Hiyo ni kauli ya member mwenzetu bi. Kikongwe, the lone widow, Faizafoxy. Husema hivyo pale ambapo baadhi ya wanajukwaa wanapoandika makosa katika michango yao.

Kiukweli makosa mengine ya kiuandishi huwa ni ya kizembe kabisa. Yaani mtu anaandika maneno mia moja lakini makosa kumi. Umakini uko wapi? Katika wanajukwaa wa JF anayeongoza kwa typing errors ni Simiyu Yetu. Hivi watu type ya Simiyu Yetu wangekua ndo editors wa Bible au Qur'an vitabu hivi vingesomeka? Sio kwamba baadhi ya amri zingemaanisha mengine?

Wana JF, Katika uandishi hakuna kitu cha mhimu kama editing. Tusiwe tunakurupuka tu kuandika na kupost bila kufanya editing. Hata taarifa nzuri hukosa maana. Hii inawahusu hata na NECTA, yaani ktk mitihani ya NECTA eti typing errors!

Kwa mfano unaandika maneno haya, umakini unatakiwa: tunagombana, ubao, pumba, kama,... kosa la herufi moja linasababisha kiama.I
 
Ni muhimu na siyo mhimu.
 
Hahahahahaaaaa yaleyaleee
Slogan ya kusomea ujinga ni upuuzi mtupu na kukimbia hoja pale mtu anapobanwa kwenye kona ambayo hawezi kuchomoka...watu hawaendi kusomea ujinga kwakuwa hakuna shule zinazofundisha ujinga haya ni matusi kwa walimu
 
umeniacha hoi hapo tunagombana,ubao,pumba yani kwa haya maneno usipokuwa makini utaaibika
 
Hata ukisoma vipi huwezi jua mambo yote. Kwa kiasi kikubwa kila binadamu ni mjinga na huendelea kuondoa ujinga kila siku ya mungu iendayo hadi atakapokufa.
 
Fuatililia posts zake za kiingereza hasa kule Forum za Kenya uone kiingereza kinavyomtesa.
 
Ha ha ha! huu uzi kiboko! Ngoja aje Simiyu yetu.
 

Ni typo error na sio typing error
 
We nae yaani unaona faizafoxy ndo mwerevu?Haloo!Aisee!Haya baba mie yangu macho.
 
Hahahaaaaa, watu wachokozi sana.
 
Huyu #faiza foaxy aliwahi kunilazimisha kuandika engrish badala ya english pumbavu kabida yule
 
Kila siku tunajifunza, hata namna ya uandishi tunajifunza pia, na sio hali/mazingira yote watu huwa makini katika uandishi. Hii slogan huwa inawadhalilisha wakufunzi zaidi ya wanafunzi. Hata hivyo, elimu haipatikani shuleni pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…