Hivi huduma kwa hospitali ya CCBRT kwa watoto wadogo ni bure au analipia kiasi?

walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
4,796
5,520
Natumaini wazima wa afya watanzania wenzangu, poleni na majukumu ya kutwa mzima ya leo. wakuu naomba niulize, hivi huduma kwa hospitali ya CCBRT kwa watoto wadogo ni bure au analipia kiasi gani mfano kunyoosha mguu garama zake zikoje naomba msaada kwa anayefahamu au kama kuna mfanyakazi yoyote wa hapo anifafanulie. Jioni njema
 
Hebu tafuta mawasiliano. Sometime hizo huduma huwa ni bure au Subsidised unachangia kidogo
 
Back
Top Bottom