Hivi hizi sikukuu siku hizi mbona zinapita kwa kasi sana na zimepoa?

Wadau,

Naona kama Watanzania wa sasa wamebadilika tofauti na zamani. Yaaani siku hizi siku zinapita fasta tu. Lile shangwe na vibe hakuna; yaani mapilau aisee hayapo.

Maisha yanaendelea kama kawaida aisee watu wanaishi kizungu sasa hakuna kutembeleana kama Ulaya.

Nishapita nyumba mbili no pilau; nimekula story nimeondoka

Ukiwa huna hela utaona kama unavyoona..
Mfano leo ni mwaka mpya, kwa wenye hela ni kupiga vyombo na misosi, plus vibe kibao!
Ila kama huna hela leo ni ijumaa ya tarehe 1/1/2021..!
 
Dar kilo ya nyama ni sh 9000/= labda kama unanunuwa bucha linalouza mikwasukwasu unaweza kupata nyama kilo sh 7000/=
Nielekeze kwenye mikwasukwasu niwe Naenda. Mwezi wa sita kilo ilikuwa 6500 leo 9000. Uzuri tunaumia wote hata praise team wamo.
 
Back
Top Bottom