Mko sahihi kabisa., hauwezi ukapima ufanisi wa mtu kwa GPA.! Ila hizi Big 4 Auditing Firm ndo utaratibu wao wa kuajiri, wao wanachukua watu wenye GPA na wenye A za Mathematics kutokana na nature ya kazi zao, wanaamini mtu mwenye GPA kubwa ni mtu mwenye akili anayeweza kufanya kazi yeyote inayohitaji kutumia akili nyingi na wanaamini mtu mwenye A ya Mathematics ana uwezo wa kufikiri mkubwa hivyo anaweza kufanya kazi zinazohitaji kutumia akili nyingi.! Ingawa sometime inaweza isiwe kweli,
Ila nadhani tokea waanze kufanya hivyo wameshagundua kitu flani kua siyo 100% walivyokua wanadhani, kwa hali hali ya sasa vitu vingi vimebadilika sana.
mfano. kuna mdogo wangu anamalizia Civil Engineering UD mwaka huu, yupo vizuri sana kwenye hayo mambo ya darasani tokea O and A level cha ajabu ajui chochote nje ya kozi yake adi wakati mwingine namshangaa sana. Yeye ni kusoma na kucheza gem kwenye pc