Katika pita pita zangu mitaa ya kati nimekutana na picha hizi. Nimeambiwa kuwa iko kusini mwa bara la Africa, nikaonelea ni vyema nizilete hapa ili niweze kuelimishwa......Hivi ni kweli mti/miti hii ipo kweli au ni kiini macho??
Inaonekana kama kweli vile au miwani yangu inaisha nguvu nini?
Jamaa yupi huyo ten...?
Miwani hii ilinisaidia kupata mafiga ukweni.....waliniona ni msomi fulani mkuu.
Katika pita pita zangu mitaa ya kati nimekutana na picha hizi. Nimeambiwa kuwa iko kusini mwa bara la Africa, nikaonelea ni vyema nizilete hapa ili niweze kuelimishwa......Hivi ni kweli mti/miti hii ipo kweli au ni kiini macho??
Kamanda hata mimi nimeiona... Tena nasikia ipo kwenye sale... up to 70% discountMkuu JF ina mambo kuna jamaa alikuja na story kuna miwani ukiivaa basi unamwona mtu utupu wake hahaha nikioona hiyo post nitakupa, very interesting nikiona mtu mwenye miwani ya myeusi naogopa...
Kamanda hata mimi nimeiona... Tena nasikia ipo kwenye sale... up to 70% discount