Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,419
- 2,270
Mji Mkongwe Unguja....Wapi....Unguja au Pemba?
Mji Mkongwe Unguja....Wapi....Unguja au Pemba?
Kwani huko mitaa ya kati walikuambiaje ni kweli au?. Waulize vizuri uje na maelezo kamili ni wapi na ni nchi gani ili nijitolee kutembea hiyo nchi na kujua kama ni kweli na mimi nitachukua Moving pictures sio still kama hizi ili kupata ukweli, vinginevyo itakuwa kama ni kujadili nchi ya "kusadikika"
Mkuu JF ina mambo kuna jamaa alikuja na story kuna miwani ukiivaa basi unamwona mtu utupu wake hahaha nikioona hiyo post nitakupa, very interesting nikiona mtu mwenye miwani ya myeusi naogopa...
Katika pita pita zangu mitaa ya kati nimekutana na picha hizi. Nimeambiwa kuwa iko kusini mwa bara la Africa, nikaonelea ni vyema nizilete hapa ili niweze kuelimishwa......Hivi ni kweli mti/miti hii ipo kweli au ni kiini macho??
kwanza jifunze namna ya kupost picha
naona waliogoma kukuambia wanataka kulea ujinga
ipo sehemu kwenye hii forum inaitwa FAQ HEBU ISOME