Hivi hizi n tetesi ama kweli

Hivi hizi n tetesi ama kweli

hiyo kitu unaikitu kwenye vyeti vilivyosainiwa na Dr Ndalichako thoses times advanced level,kabla magoli hayajatanuliwa na jamaa wa msoga
 
Mimi nadhani akuna mtu mwenye udhibitisho wa jambo ilo..niupotoshaji unaofanywa na watu wachache..
 
Hzo ndo zlikua grade za enzi zetu.. Na bado wanaume tukaondoka na banda za kutosha. Please dr.Ndalichako rudisha hii system ili hawa wanyoa viduku wapungue vyuoni huku.
Enzi zenu wapi? BRN hii hatar, ili useme habari za enzi, rudi nyumba ambapo A ilikuwa 81-100 na habari za matokeo yako zingekuwa tofauti
 
Kama kweli wale wavivu wa kusoma wa suruali fupi lazima waandamane Dr Ndalichako ang'oke
Japokuwa umejitahidi kutumia tafsida ila acha dharau na kashfa kwa dini nyingne!
Je unaweza kuelezea hao ambao umewaidentify kama "suruali fupi"ufaulu wao ulikuwaje kabla ya grades hazikubadilishwa, na je baada ya grades kubadilishwa zimewafavour vp katika ufaulu wao kitakwimu?!
 
Jaman hiyo imepitishwa rasmi na mfumo wa GPA unafutwa kwa o lev na advc..."gpa grade inabaki vyuoni tu.."kwa kwli mfumo wa elimu tanzania ulikuwa unaelekea pabaya...santeee xana dada Ndalichako leta mabadiliko ya kweli secta ya elimu Tanzania
 
Necta wanasema viwangi havijabadilika tembelea tovut ya necta
 
Back
Top Bottom