jmapunda
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 731
- 2,923
Salaam wakuu.
Wiki iliyopita niliwatembelea ndugu zangu maaeneo flani hivi. Mara akaja mgeni mmoja na msosi wa nguvu kwenye hot pot. Jambo lililonishangaza ni kwamba hakuna mtu aliyeruhusiwa kula huo msosi.
Yule mgeni alipoondoka msosi ukatupwa jalalani. Daa nilisikitika sana. Kumbe bado hizi imani zipo!