kwa nni usihimize bwana? janaume linakutumia tuu miaka nenda rudi anakugegeda wewe wataka ndoa kwa nini usihimize mwana utanioa ama vipi?
wapenda mlio na msio kwenye mahusiano hivi ni sahihi kwa mwanamke uliye kwenye mahusiano kumhimiza mchumba wako swala la kuishi pamoja kwa maana ya ndoa.
maana nilikuwa najadili na mtu then akaniambia eti mwanamke ukihimiza swala la ndoa unaonekana kuna kitu unaficha au kuna kitu unakitaka.haya maneno yana ukweli?
majibu yenu ni msaada mkubwa kwangu........
kwa nni usihimize bwana? janaume linakutumia tuu miaka nenda rudi anakugegeda wewe wataka ndoa kwa nini usihimize mwana utanioa ama vipi?
kwa nni usihimize bwana? janaume linakutumia tuu miaka nenda rudi anakugegeda wewe wataka ndoa kwa nini usihimize mwana utanioa ama vipi?
mie safi kabisa ...wewe tuu tuu ndio umepoteaHa ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa nimefurahi kukuona humu tena mzabzab jambo iko?