Hivi hili jambo lina ukweli?

Kama anakupenda kweli atawapenda na majirani zako, kwa hiyo hata akifanana na jirani yako ni uthibitisho tosha kwamba anakupenda
 
Sio kweli! Ukweli ni kwamba unapofikia kishindo muangalie machoni nayeye akuangalie Bila kukwepesha macho akikamata kitakachopatikana ndio jibu la swali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…