Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,738
- 42,830
Hahaaaa kuna wifi yako hapa anaupenda mimi huwa namwambia bora nikupgie simu tuongee tu yaishe...Hahaha daah umenikumbusha mbali na huo msemo lol
Upande umekukumbusha nini huu msemo
Hahaaaa kuna wifi yako hapa anaupenda mimi huwa namwambia bora nikupgie simu tuongee tu yaishe...Hahaha daah umenikumbusha mbali na huo msemo lol
Best friend angu na little cousin sis angu mmoja ndo wanapenda huo msemo especially wakiwa bored. Utaona tu vinanitext "tuchat basi", yani huwa najikuta nacheka tuHahaaaa kuna wifi yako hapa anaupenda mimi huwa namwambia bora nikupgie simu tuongee tu yaishe...
Upande umekukumbusha nini huu msemo
😱😛😵Mkuu ushauri..
Wanawake wapo wengi na kila mmja anamzuri na mapungufu yake..
Lamsingi wewe tafuta yule ambae utaweza kuvumilia vimbwanga vyake, Lakini kila mwanamke anavimbwanga vyake..tena havina Kikomo..
Kusindikiza neno la Rubii. Mshirikishe wimbo huu.wakuu wanawake kwa wanaume ni msaada hii inakuaje
Utasikia tuchat...
Sijui huwa wanawaza nini......!!
Sijui huwa wanawaza nini......!!
Hahahaha jamani unaeza kuta hujamtafta mda pengine ndio kaona bora iwe hivo by the way naamini hata ye vipi busy lazima utatenga mda kwa ajili yake.Utasikia tuchat...