Hivi hii tabia vijana wame itolea wapi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,913
Reaction score
67,435
Yaan una kuta kijana wakiume ana piga picha ana funua shati ana onyesha boxer for which reason au kavaa kata k kiasi kwamba akiinama makalio yapo njeee nashindwa kuelewa kabisa na unapo jaribu kumuelimisha kwa namna fulani una onekana mshamba

Af pia tabia ya kukatika yaani hii ndio sijawai elewa kabisa yaan wana shindana kukatika mbaya zaidi sasaiv wazazi mna waaachia watoto simu na simu ina onyesha kila kitu anapo ona watu wana fanya ivyo ana chukulia kawaida

Mfundishe mtoto wako wakike au wakiume ajue thaman yake katika jamii na zaidi ajue miiko yake kulingana na jinsia yake nini ana paswa kufanya na nini hapaswi kufanya mfundishe akiwa mdogo

Ni hayo tu
 
Hiyo ya kulatika bila shaka wamejifunza kutoka kwa Mzee Mwandambo.

Hiyo ya kupiga picha huku wamefunua boksa nadhani wamekopi na kupesti kutoka kwa anko T.

Kuna hii ya kutingisha makebo watembeapo ambayo Kubwa la Maadui anaipromote kwa nguvu zote.

My take: watoto wetu wa kiume tuwafundishe vile ambavyo mwanaume anapanswa kuwa. Nukta, mwisho wa kunukuu 😎
 

For sure kuna mahali wazaz walikosea kulea basi watu tujitahid kuto rudia makosa
 
Kataa kufyatua tu watoto na kutelekeza familia, kataa usambazaji wa single mothers, be gentleman kiuwajibikaji.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…