Hivi hii offer nitasalimika kweli.....!

Hivi hii offer nitasalimika kweli.....!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,438
Kuna mahali nimepewa offer ya Massage kesho Ijumaa, sijui inakuwaje hiyo makitu.
Mwenye uzoefu tafadhali, nisije pata kesi ya kubaka mie........................................LOL
 
Ukibaka kwa kinga adhabu inaponguzwa...

By the way, aliyekwambia masaji itafanyiwa na mwanamke ni nani??
Mabwabwa yana mikono laini siku hizi! Shaurilo.
 
Nzuri sana lakini kataa offer!

Kuna mahali nimepewa offer ya Massage kesho Ijumaa, sijui inakuwaje hiyo makitu.
Mwenye uzoefu tafadhali, nisije pata kesi ya kubaka mie........................................LOL
 
Inaonekana unajua kitu fulani sema unapima upepo,kwanini tahadhari juu ya kupata kesi ya kubaka?
Kuna mahali nimepewa offer ya Massage kesho Ijumaa, sijui inakuwaje hiyo makitu.
Mwenye uzoefu tafadhali, nisije pata kesi ya kubaka mie........................................LOL
 
Mwambie mama ngina akamue mawese kabisa uwende ukiwa mwepesi........na je ukikuta na masusi wa kiume? We jitayarishe kimoyo na kimwili. Tosha

wazo zuri lakini akifika kule akakuta amewekewa korosho na karanga... wakati anasubiri huduma je...??
hata akikamua hawezi kumaliza sana sana atakuwa amepata lile tui la nazi badala ya maji ya mchele
 
kama hujui offer faida zake na hasara ya nini kung'ang'ania tumia akili yako kuona kama offer inakufaa na ukijisikia.
 
Uko pande za wapi? kama Znz imekula kwako! au TANGA...? Chonde chonde mambo yale yakikukuta ukubwani sio mazuri.
 
Ukibaka kwa kinga adhabu inaponguzwa...

By the way, aliyekwambia masaji itafanyiwa na mwanamke ni nani??
Mabwabwa yana mikono laini siku hizi! Shaurilo.
  • women hufanyiwa massage na straight men
  • men huwanyiwa massage na straight women
 
Nenda kapunguze stresss tena nenda pale AZURA Mikocheni, safi kabisaaaaa. Ukifika wavua nguo zoteeeeee!!!!!!!!!!! Wakandwa hadi misuli ya makalio, manake nyie mnaodrive na kushinda mmekaa ofisini, hali ya eneo hilo inakuwa si shwariii. Chezeya MAFUTA YA MZEITUNI NA MNYONYO NYIEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom